UFARANSA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA HUNGARY JIJINI BUDAPEST-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

UFARANSA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA HUNGARY JIJINI BUDAPEST-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
UFARANSA wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Hungary katika mchezo wa Kundi F Euro 2020 leo Uwanja wa Puskas Arena Jijini Budapest.
Hungary walitangulia kwa bao la beki wa Fehervar, Attila Fiola dakika ya 45 na ushei, kabla ya mshambuliaji wa Barcelona, Antoine Griezmann kuisawazishia Ufaransa dakika ya 66.
Ufaransa inafikisha pointi nne baada ya mechi mbili na kupanda kileleni japo kwa muda, ikiizidi pointi moja Ureno inayomenyana na Ujerumani muda huu, wakati Hungary leo imeokota pointi ya kwanza. Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz