UFARANSA YAILAZA UJERUMANI 1-0 MUNICH EURO 2020-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

UFARANSA YAILAZA UJERUMANI 1-0 MUNICH EURO 2020-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 BAO la kujifunga la beki Mats Hummels dakika ya 20 limewapa Ufaransa ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Ujerumani katika mchezo wa Kundi F Euro 2020 Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich.
Mechi nyingine ya kundi hilo, Ureno imeshinda 3-0 dhidi ya wenyeji, Hungary Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest.
Mabao ya mabingwa hao watetezi yamefungwa na Raphaël Guerreiro dakika ya 84 na Nahodha Cristiano Ronaldo dakika ya 87 kwa penalti na 90 na ushei akimalizia pasi ya Rafa Silva.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz