UCHAGUZI MKUU WA TFF KUFANYIKA MKOANI TANGA AGOSTI 7 FOMU YA KUGOMBEA URAIS YAUZWA SH 500,000 UJUMBE 200,000-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

UCHAGUZI MKUU WA TFF KUFANYIKA MKOANI TANGA AGOSTI 7 FOMU YA KUGOMBEA URAIS YAUZWA SH 500,000 UJUMBE 200,000-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 UCHAGUZI Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) utafanyika Agosti 7, mwaka huu mkaoni Tanga, imeelezwa.
Taarifa ya Kamati ya Uchaguzi ya TFF iliyotolewa na Mwenyekiti wake, Wakili Kibamba imesema kwamba safari hii kutakuwa na nafasi mbili tu za kugombea, Rais na Ujumbe, ambayo itakuwa na watu sita.
Na nafasi hizo fomu zake zinatolewa kwa gharama ya Sh. 500,000 Urais na Sh. 200,000 Ujumbe na fomu zitaanza kutolewa keshokutwa, Juni 8 katika ofisi za TFF au tovuti ya shirikisho hilo.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz