TFF YAJIBU KWA HERUFI KUBWA; YASEMA HAIWEZI KUBADILI KANUNI WALA KATIBA KUHUSU UCHAGUZI WAKATI MCHAKATO UNAENDELEA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TFF YAJIBU KWA HERUFI KUBWA; YASEMA HAIWEZI KUBADILI KANUNI WALA KATIBA KUHUSU UCHAGUZI WAKATI MCHAKATO UNAENDELEA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema haliwezi kubadili Kanuni wala Katiba yake kuhusu uchaguzi wakati mchakato wa zoezi hilo unaendelea.
Hayo ni majibu kwa wadau mbalimbali waliolalamikia na kuiandikia TFF juu ya vipengele mbalimbali kuhusu uchaguzi ambavyo wanaona vina kasoro au mapungufu.
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wadau mbalimbali wa michezo nchini, wakiwemo wa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu uchaguzi wa TFF uliopangwa kufanyika Agosti 7 mwaka huu Jijini Tanga.

Wengi wanaamini vipengele vya kanuni na Katiba kuhusu uchaguzi vinalenga kuwasafishia njia viongozi waliopo madarakani wanaoomba tena ridhaa ya kuongoza shirikisho hilo, akiwemo Rais wa sasa, Wallace John Karia ambaye amekwishachukua fomu kugombea tena.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz