TAIFA STARS YANG'ARA BENJAMIN MKAPA, YAICHAPA MALAWI 2-0 MECHI YA KIRAFIKI YA KIMATAIFA MABAO YA BOCCO NA MWENDA MPISHI KIBU DENNIS-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

TAIFA STARS YANG'ARA BENJAMIN MKAPA, YAICHAPA MALAWI 2-0 MECHI YA KIRAFIKI YA KIMATAIFA MABAO YA BOCCO NA MWENDA MPISHI KIBU DENNIS-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TANZANIA imetumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salam baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Malawi katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa.
Baada ya dakika 45 ngumu za kipindi cha kwanza, Taifa Stars ikaifungua safu ya ulinzi ya The Flames kwa mabao ya Nahodha John dakika ya 68 na Israel Patrick Mwenda dakika ya 75.
Na mabao yote yalipikwa na mshambuliaji chipukizi wa Mbeya City, Kibu Dennis aliyetokea benchi kipindi cha pili, la kwanza akimsetia Bocco kabla ya kuangushwa nje kidogo ya boksi na Mwenda akafunga kwa shuti la mpira wa adhabu.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz