TAASISI YA SIMBA JAMII KUFANYA MKUTANO MKUU KESHO KWA AJENDA TATU IKIWEMO UCHAGUZI MDOGO WA KUJAZA NAFASI MBILI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TAASISI YA SIMBA JAMII KUFANYA MKUTANO MKUU KESHO KWA AJENDA TATU IKIWEMO UCHAGUZI MDOGO WA KUJAZA NAFASI MBILI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TAASISI  ya Simba Jamii Tanzania, (SJTE) inatarajia kufanya mkutano Mkuu kesho ukiwa na ajenda tatu ikiwemo mapato na matumizi pamoja na uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi mbili za uongozi.
Mkutano huo Mkuu umedhaminiwa na kampuni ya ulinzi ya K4S kwa kulipia gharama zote ikiwemo uchaguzi wa viongozi wa taasisi hiyo na utafanyika katika ukumbi wa Lekam Buguruni Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza kwa niaba ya uongozi wa Taasisi hiyo Hassan Mohamed (EBS), alisema ni Kampuni ya K4S imetoa ushirikiano mkubwa katika Mkutano wao huo  kwa kulipia gharama zote za Mkutano na Uchaguzi utakaofanyika kesho.
"Tunaishukuru sana K4S kwa kuonyesha ushirikiano kwetu, tunaomba kila Mwanachama wa SJTE aweze kuhudhuria Mkutano wetu Mkuu, kuna mengi yanaakuja kwetu wana SJ" alisema Mohamed .       
Mohamed alisema Kampuni ya K4S chini ya Mkurugenzi wake Mohamed Soloka, ametoa ushirikiano mkubwa wa kudhamini Mkutano huo Mkuu wa Simba Jamii.
Alisema kuwa Mkutano huo ni wa kwanza  katika uongozi wao tangu ufanyike Uchaguzi Mkuu na utakuwa na Ajenda tatu ambazo ni mapato na matumizi ya uongozi uliopita, Ajenda ya pili ni mapato na matumizi ya uongozi wao ambao uliingia madarakani mwezi Januari 31 na kufanyika uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi mbili za wazi kwa wajumbe wa Kamati ya Utendaji.  
Taasisi ya Simba Jamii (SJTE) imekuwa ikijihisisha na kutoa misaada kwa watu mbalimbali wenye uhitaji (Walemavu) maalum na vituo vya watoto yatima.      MwishoJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz