Simba Yaicharaza Azam Fc, Yaifuata Yanga Fainali-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Yaicharaza Azam Fc, Yaifuata Yanga Fainali-Michezoni leo

RASMI sasa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup) itawakutanisha Yanga na mabingwa watetezi Simba  leo Juni 26,  kuibuka na ushindi wa bao 1-0. kwenye dimba la Majimaji, Songea.

Goli pekee la Mchezo huo wa Nusu Fainali limewekwa kimiani na Luis Miquissone  dakika ya 89’akipokea pasi ya Bernard Morrison ya mpira wa adhabu ndogo uliochezwa ya Bernard Morrison aliyeanzisha mpira kwa haraka na kuwaacha mabeki wa Azam Fc wakiwa. wamezubaa.

Ushindi huo unaifanya Simba kuifuata hatua ya Yanga hatua ya Fainali itakayochezwa Juni 25 kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, Wananchi jana  walishinda bao 1-0 dhidi ya Biashara United katika nusu fainali ya kwanza.

The post Simba Yaicharaza Azam Fc, Yaifuata Yanga Fainali appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz