Simba Watua ‘Kibabe’ jijini Mwanza, Ruvu Wajipange (Picha +Video)-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Watua ‘Kibabe’ jijini Mwanza, Ruvu Wajipange (Picha +Video)-Michezoni leo

KIKOSI cha Simba SC leo Juni 1, 2021 kimewasili jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa ligi kuu bara dhidi ya Ruvu Shooting unatarajiwa kuchezwa siku ya Jumatano Juni 3, 2021 katika katika Uwanja wa CCM kirumba uliopo jijini Mwanza.

Kikosi Cha Simba kimetua kikiwa na jumla ya wachezaji 21,  akizungumza baada ya kufika katika Uwanja wa ndege wa Mwanza Meneja wa Simba, Patrick Ruyamamu amesema wamejipanga vizuri kuhakikisha wanapata matokeo mazuri kwani timu katika michezo yake yote popote inapocheza hapa nchini ni nyumbani kwa hiyo Simba haina michezo ya ugenini wala nyumbani michezo yote ikicheza ipo nyumbani hivyo kupata matokeo ni lazima.

Kwa upende wao baadhi ya mashabiki ambao wamekuja kuipokea Simba wamesema wao wamejiandaa kuisapoti kwa nguvu zao zote kuhakikisha wanapata matokeo katika michezo watakayocheza.

The post Simba Watua ‘Kibabe’ jijini Mwanza, Ruvu Wajipange (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz