Simba Watamba Kuifunga Ruvu Shooting Kirumba Leo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Simba Watamba Kuifunga Ruvu Shooting Kirumba Leo-Michezoni leo

KOCHAMsaidizi wa Simba, Seleman Matola, amesema pamoja na ugumu wanaokutana nao katika kusaka pointi kutokana na kukamiwa na wapinzani wao, lakini suala la timu yao kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu ni la lazima.

 

Kauli ya kocha huyo imekuja ikiwa leo Alhamisi Simba itapambana na Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa ukiwa ni mwendelezo wa ligi hiyo.

 

Simba ndiyo vinara wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 64 baada ya kucheza mechi 26, wanafuatiwa na Yanga wenye pointi 61 na Azam 60.

Matola ameliambia Spoti Xtra kwamba: “Timu nyingi tunazocheza nazo zipo katika hatari ya kushuka daraja ndiyo maana mechi hizo zinakuwa ngumu kwetu, lakini pamoja na kukamiwa huko, sisi tumejiandaa kuhakikisha kila mchezo ulio mbele yetu tunashinda ili tutwae ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo.

“Sio kazi rahisi kwetu kutetea ubingwa kwa msimu wa nne, lakini tutafanya kila liwezekanalo ili kutimiza malengo hayo tukianza na mchezo dhidi ya Ruvu Shooting.”

Stori: Johnson James, Mwanza

The post Simba Watamba Kuifunga Ruvu Shooting Kirumba Leo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz