SIMBA SC YAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUITUPA NJE ASFC, KUKUTANA NA YANGA SC KATIKA FAINALI JULAI 25 KIGOMA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA SC YAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUITUPA NJE ASFC, KUKUTANA NA YANGA SC KATIKA FAINALI JULAI 25 KIGOMA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MABINGWA watetezi, Simba SC wamefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC jioni ya leo Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo, kiungo wa kimataifa wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone dakika ya 90 na ushei akimalizia mpira wa adhabu alioanzishiwa na winga Mghana, Bernard Morrison baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa nje kidogo ya boksi upande wa kulia.
Sasa Simba SC watakutana na watani wao wa jadi, Yanga SC katika fainali Julai 25 Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma kuwania taji la tatu mfululizo la Azam Sports Federation Cup (ASFC).


Ikumbukwe jana Yanga SC iliitoa Biashara United ya Mara kwa kuichapa 1-0 pia, bao pekee la mshambuliaji Mburkinabe, Yacouba Sogne Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz