SIMBA SC NAYO YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA VIJANA U20 BAADA YA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA JKT TANZANIA AZAM COMPLEX-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA SC NAYO YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA VIJANA U20 BAADA YA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA JKT TANZANIA AZAM COMPLEX-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Kundi A usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Simba inafikisha pointi saba baada ya mechi zote tatu za kundi hilo, ikishinda mbili zote 1-0, nyingine dhidi ya Mwadui FC na sare ya bila kufungana na watani wa jadi, Yanga SC.
Simba inayofundishwa na Nico Kiondo inamaliza na pointi saba katika nafasi ya pili ikizidiwa tu wastani wa mabao na Yanga.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz