SIMBA NA YANGA B ZAGAWANA POINTI BAADA YA SARE YA BILA KUFUNGANA UFUNGUZI LIGI YA VIJANA U20 USIKU HUU CHAMAZI, JKT YAICHAPA MWADUI 1-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA NA YANGA B ZAGAWANA POINTI BAADA YA SARE YA BILA KUFUNGANA UFUNGUZI LIGI YA VIJANA U20 USIKU HUU CHAMAZI, JKT YAICHAPA MWADUI 1-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 WATANI wa jadi, Simba na Yanga wamegawana pointi baada ya sare ya 0-0 katika mchezo wa Kundi A, Hatua ya Nane Bora Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 iliyoanza usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
Mechi ya ufunguzi ya kundi hilo, JKT Tanzania imeanza vyema baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga bao pekee la Said Kibada dakika 79 usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz