Shinda TShs Bilioni 5.75 kwenye Euro 2020 na betPawa katika PawaPot Jackpot-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Shinda TShs Bilioni 5.75 kwenye Euro 2020 na betPawa katika PawaPot Jackpot-Michezoni leo

PawaPot Jackpot ya TSh Bilioni 5.75 ni mpya betPawa, maana yake wateja wanaweza kushinda KIKUBWA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA  katika michuano ya Euro 2020.

https://www.betpawa.co.tz/jackpot/active/2047

 

PawaPot ni jackpot KUBWA KULIKO KUWAHI KUTOKEA Tanzania, na haya yote kwa tiketi inayouzwa TSh 1,150 tu.

Lakini tunanogesha zaidi: unaweza kupata ticket ya BURE ya PawaPot kwa kuweka beti yoyote hadi Jumanne tarehe 8 Juni.

 

Ukitumia nafasi hii, ticket yako ya bure tutakupatia Jumatano tarehe 9 Juni. Hakikisha unaitumia kabla ya mashindano ya Euro 2020 kuanza na Jackpot inafungwa Ijumaa tarehe 11 Juni.

Je unachezaje PawaPot? betPawa wamechagua mechi 17 kutoka katika mechi za hatua ya makundi ya Euro 2020. Bashiri matokeo na iwapo utapatia mechi zote kwa usahihi, unaweza kujishindia Tsh Bilioni 5.75.

hapo. Unaweza kushinda zawadi za pesa hata kama utakosea machaguo katika mechi mbili.

 

Mechi 17 za Euro 2020 kutoka betPawa ndani ya PawaPot Jackpot ya TSh Bilioni 5.75

 

Hizi hapa ni mechi 17 zilisomama baina yako wewe na ushindi wa kihistoria wa TSh Bilioni 5.75 ambazo betPawa wanazitoa. Tumeongeza ufahamu katika kila mechi ili ikusaidie katika kufanya machaguo yako.

 

Turkey v Italy

Baada ya kukosa katika Kombe la Dunia, Italia wamesubiri miaka mitano kucheza mechi za mashindano.  Walianza vizuri mara mbili za mwisho, walimfunga Ubelgiji 2-0 katika Euro 2016 na Uingereza 2-1 katika Kombe la Dunia 2014.

 

Wales v Switzerland

Dhidi ya wapinzani kama Ufaransa na Brazil hadi Romania na Costa Rica, Uswisi wamepata droo mechi 4 kati ya 6 katika hatua ya makundi ya mechi za mashindano. Je hilo ni chaguo janja katika PawaPot ya TSh Bilioni 5.75 wanapokabiliana na Wales?

 

Austria v North Macedonia

North Macedonia ni moja ya nchi mbili wanaocheza kwa mara ya kwanza katika Euro 2020.  Kulikua na timu 5 katika Euro 2016. Wawili walichuana katika mechi ya ufunguzi. Wengine watatu walianza kwa kufungwa mechi 2 na kupata droo.

Poland v Slovakia

Mchezaji nyota katika kikosi cha Poland ni mshambuliaji Robert Lewandowski, lakini kazi yao nzuri hufanywa na eneo la ulinzi. Hawajaruhusu goli katika mechi 4 kati ya 6 katika mechi za makundi, na wamefungwa goli 10 katika kufuzu.

 

France v Germany

Ufaransa wanajaribu kufanya walichokifanya mwaka 2000 na kumzuia Ujerumani kufanya hivyo mwaka 2016: kufuatia mafanikio ya Kombe la Dunia na ufalme wa Ulaya. Hata hivyo Ujerumani ameshinda mechi zake zote tatu za mwisho za ufunguzi wa Euro bila kuruhusu goli.

 

Turkey v Wales

Kocha wa Uturuki Senol Gunes alianza kufundisha kimataifa mwaka 2000, hapo baadae alifika nusu fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2002. Rob Page amefundisha kikosi cha Wales tangu Novemba tu. Je utofauti katika uzoefu unaweza kuamua matokeo katika hili?

 

Denmark v Belgium

Ubelgiji wanaonekana kufuzu uwezo wao wa kuona kila mechi kama fainali. Walikua moja wapo wa timu kati ya timu tatu  walioshinda mechi zao zote za makundi katika Kombe la Dunia 2018 na moja wapo wa timu kati ya timu mbili kushinda mechi zao zote za kufuzu Euro 2020.

 

Ukraine v North Macedonia

Ukraine anaingia Euro 2020 akiwa na rekodi yake mbovu ya kupoteza mechi 5 mfululizo bila kufunga goli. Rekodi hio ikiendelea katika mechi yao ya ufunguzi dhidi ya Uholanzi, North Macedonia anaweza kuona nafasi ya kumfunga pia.

 

Croatia v Czech Republic
Hawa walitoa droo ya 2-2 katika mechi ya mzunguko wa pili za Euro 2016. Hizo zilikua point pekee Croatia walipoteza katika hatua ya makundi ya mashindano hayo na Kombe la Dunia mwaka 2018, kwa kushinda dhidi Hispania na Argentina.

 

Sweden v Slovakia

 

Sweden kafuzu kucheza Euro karne nzima lakini ni mara moja tu (2004) waliofanikiwa kuvuka hatua ya makundi. Kwa kulinganisha, Slovakia wamefuzu mara 2 kucheza mshindano ya kimataifa, mara zote walifanikiwa kufika hatua ya mtoano.

Portugal v Germany

Nchi hizi hukutana katika hatua kubwa tu, hii ikiwa ni mara ya 6 zikichuana katika mashindano katika karne hii. Ureno walishinda katika mechi ya kwanza mwaka 2000, lakini Ujerumani haijarudi nyuma kamwe, wameshinda mwaka 2006, 2008, 2012 na 2014.

 

Switzerland v Turkey

Endapo unacheza na Uturuki, ni bora isiwe mechi ya mwisho ya makundi katika michuano. Wameshinda mechi zote 4 zilizokua katika michuano ya karne hii. Hio ni hatua kubwa katika ushindi wao mmoja, droo 2 na kufungwa mechi 5 katika mechi za kwanza na pili.

 

Ukraine v Austria

Ingawa Ukraine ana rekodi iliyosemwa awali ya kupoteza mechi 5 mfululizo katika Mashindano ya Ulaya bila kufunga, wameshinda mechi 3 za mashindano karne hii. Austria ushindi wao wa mwisho ulikua mwaka 1990, na wamefungwa mechi 5 kati ya 7 za mwisho.

 

Russia v Denmark

Je rekodi ya Urusi kumaliza vibaya itakuongoza katika PawaPot Jackpot kufanya chaguo kwa mabingwa hawa wa zamani? Mwaka 2012, walisamilimisha nafasi ya robo fainali kwa Ugiriki. Mwaka 2016, Wales aliwafunga 3-0.

 

Croatia v Scotland

Tulikuambia Croatia ni mabingwa wa hatua za makundi, walichukua point 16 kati ya 18 kupitia 2016 na 2018. Lakini Je, Scotland ataweza kuwashangaza wateja wa betPawa? Wamekutana na Croatia mara 5 karne hii bila kupoteza.

 

Sweden v Poland

Swali kwa wachezaji wa PawaPot ya TSh Bilioni 5.75 ni kuzingatia uhalisia wa ubabe wa Sweden dhidi ya Poland wakiwa wameshinda mechi 5 dhidi ya Poland. Mara ya mwisho Sweden kushinda katika ushindi wake wa mara 5 mfululizo ni mwaka 2004.

 

Portugal v France

Mechi yako ya mwisho katika PawaPot ni marudio ya mechi ya fainali za Ulaya mwaka 2016. Historia ya hivi karibuni inashauri mechi itakua ngumu. Wawili hao wamekutana mara 4 ndani ya miaka 6 iliyopita, kukiwa na magoli mawili tu kwa ujumla ndani ya dakika tisini.

 

 

Fanya machaguo yako katika PawaPot Jackpot ya TSh Bilioni 5.75 sahivi kupitia betPawa
: https://www.betpawa.co.tz/jackpot/active/2047]

 

Cheza kiasi. 18+. betPawa imesajiliwa chini ya bodi ya michezo ya kubashiri ya Tanzania. Leseni #SBI000000005.

 

@job.ngaula@betpawa.com Is this okay?

 

Corrected now

 

Thanks

The post Shinda TShs Bilioni 5.75 kwenye Euro 2020 na betPawa katika PawaPot Jackpot appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz