Rasmi Uefa Yafuta Sheria ya Goli la Ugenini-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Rasmi Uefa Yafuta Sheria ya Goli la Ugenini-Michezoni leo

SHIRIKISHO la Soka Ulaya (Uefa) limetangaza kufuta sheria ya bao ugenini ambayo ilikuwa inatumika kwenye michuano ambayo inaandaliwa na Uefa sheria hiyo ilianza kutumika tangu mwaka 1965.

Sheria hiyo ilikuwa inatumika kuamua matokeo baada ya raundi mbili  nyumbani na ugenini, baada ya kufuta sheria hiyo kwa  sasa baada goli la ugenini halikuwa teana  faida na baada ya kuchezwa  raundi mbili, endapo   matokeo yakiwa sare, basi zitaongezwa dakika na baadaye mikwaju ya penati.

Timu kadhaa ikiwemo Chelsea Manchester City na PSG walikuwa wahaga wa sheria hiyo   baada ya kujikuta wakitupwa nje ya michuano kutokana na timu pinzani kunufaika  kwa faida ya goli la ugenini.

Kwa mujibu wa Rais wa Uefa Aleksander Ceferin amesema goli la ugenini limefanya timu nyingi kucheza kwa kujilinda kwa sababu ya faida ya bao la ugenini.

The post Rasmi Uefa Yafuta Sheria ya Goli la Ugenini appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz