PAN AFRICANS, GREEN WARRIORS, MASHUJAA NA DTB ZAPANDA DARAJA LA KWANZA, LIPULI YAZIDI 'KUPOTELEA MBALI'-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

PAN AFRICANS, GREEN WARRIORS, MASHUJAA NA DTB ZAPANDA DARAJA LA KWANZA, LIPULI YAZIDI 'KUPOTELEA MBALI'-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MABINGWA wa zamani wa Tanzania, Pan African wamefanikiwa kurejea Ligi Daraja la Kwanza katika harakati zao kuisaka Ligi Kuu.
Pan yenye maskani yake Mtaa wa Swahili Jijini Dar es Salaam wamepanda baada ya ushindi wa jumla wa 2-0 dhidi ya Lipuli ya Iringa katika mechi mbili za mchujo.
Pamoja na mabingwa hao wa Ligi Kuu 1982, timu nyingine zilizopanda Daraja la Kwanza kutoka la pili, nyingine Green Warriors, DTB FC za Dar es Salaam pia na Mashujaa ya Kigoma.

Bahati mbaya kwao, Lipuli ya Iringa na AFC ya Arusha, zamani Ndovu zimeporomoka hadi Daraja la Pili baada ya mechi za mchujo.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz