NI RAJA NA JS KABYLIE FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA JULAI 10 BENIN-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

NI RAJA NA JS KABYLIE FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA JULAI 10 BENIN-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Raja Athletic imeingia fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitoa Pyramids FC ya Misri kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya jumla ya 0-0.
Baada ya sare nyingine ya 0-0 usiku wa jana Uwanja wa Mohamed V Jijini Casablanca kufuatia sare ya wiki iliyopita ya 0-0 pia Jijiji Cairo, Raja wakakata tiketi yao ya fainali kwa matuta na sasa watakutana na JS Kabylie ya Algeria Julai 10A nchini Benin.
Kabylie yenyewe imeitoa Cotonsport de Garoua ya Cameroon kwa jumla ya mabao 5-1 baada ya ushindi wa 3-0 usiku wa jana Uwanja wa Julai 5, 1962 Jijini Algiers kufuatia ushindi wa 2-1 wiki iliyopita ugenini.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz