NEYMAR AFUNGA BRAZIL YASHINDA PARAGUAY KWA MARA YA KWANZA BAADA YA MIAKA 35 -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

NEYMAR AFUNGA BRAZIL YASHINDA PARAGUAY KWA MARA YA KWANZA BAADA YA MIAKA 35 -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
BRAZIL imetanua uongozi katika mbio za Kombe la Dunia 2022 Qatar baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Paraguay usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Defensores del Chaco Jijini Asunciรณn.
Mabao ya Brazil yamefungwa na Neymar dakika ya nne, akimalizia pasi ya Gabriel Jesus na Lucas Paqueta dakika ya 90 na ushei, huo ukiwa ushindi wa kwanza kwa timu hiyo nchini Paraguay ndani ya miaka 35.
Sasa Brazil inafikisha pointi 18 baada ya kucheza mechi sita na kuendelea kuongoza mbio hizo kwa Amerika Kusini kwa pointi sita zaidi ya Argentina iliyolazimishwa sare ya 2-2 na Colombia Uwanja wa Metropolitano Roberto Melendez Jijini Barranquilla.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz