NEYMAR AFUNGA BRAZIL YAICHAPA VENEZUELA 3-0 COPA AMERICA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

NEYMAR AFUNGA BRAZIL YAICHAPA VENEZUELA 3-0 COPA AMERICA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI, Brazil usiku wa kuamkia leo wameichapa Venezuela 3-0, mabao ya Marquinhos dakika ya 23, Neymar kwa penalti dakika ya 64 na Gabriel Barbosa dakika ya 89 katika mchezo wa Kundi B Copa America Uwanja wa Taifa wa Brasilia.
Leo Argentina wanatupa karata yao ya kwanza kwenye Copa America 2021 kwa kumenyana na Chile katika mchezo wa Kundi A Saa 6:00 usiku Uwanja wa Nilton Santos Jijini Rio de Janeiro, Brazil.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz