NAHODHA WA ZAMANI WA TAIFA STARS, ALLY MAYAY TEMBELE AENGULIWA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WACHEZAJI ETI HAKIDHI VIGEZO VYA KATIBA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

NAHODHA WA ZAMANI WA TAIFA STARS, ALLY MAYAY TEMBELE AENGULIWA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WACHEZAJI ETI HAKIDHI VIGEZO VYA KATIBA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 

NAHODHA wa zamani wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Ally Mayay Tembele ameenguliwa kwenye uchaguzi wa Chama cha Wachezaji Tanzania (SPUTANZA) kwa madai ya kutokidhi vigezo vya Katiba.
Taarifa ya Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema Mayay ameenguliwa kwa sababu hajatelekeza Ibara ya 27 (6) ya Katiba ya SPUTANZA.
Kamati hiyo imempitisha mchezaji mwingine wa zamani wa Yanga SC, Abeid Mohamed Mziba pekee kuwania Ujumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF kupitia SPUTANZA baada ya usaili uliofanyika Mei 31.


Uchaguzi wa SPUTANZA unatarajiwa kufanyika Juni 19, mwaka huu.

Ally Mayay Tembele (katikati) enzi zake akiichezea timu ya taifa mwaka 1999


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz