Mwanafunzi wa chuo kikuu anyongwa na mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mwanafunzi wa chuo kikuu anyongwa na mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi


Mwili wa Petronel Mwanisawa (22) ambaye alikuwa Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Iringa aliyefariki dunia kwa madai ya kunyongwa na mpenzi wake, unaagwa hii leo chuoni hapo.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa, - Juma Bwire amesema kuwa mara baada ya mwili huo kuagwa, utasafirishwa kwenda nyumbani kwao Sumbawanga mkoani Rukwa kwa ajili ya mazishi.

Kamanda Bwire amesema kuwa, kwa sasa Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia Prudence Patrick (21) Mwanafunzi wa chuo kikuu hicho cha Iringa anayedaiwa kuhusika na mauaji hayo, ambaye amekamatwa katika kituo kikuu cha mabasi cha Iringa akiwa anatoroka baada ya mauaji hayo kuelekea nyumbani kwao Bukoba mkoani Kagera.

Amesema chanzo cha mauaji hayo kinadaiwa ni wivu wa mapenzi, ambapo Prudence alikuwa akimtuhumu Petronel kuwa na uhusiano na Mwanaume mwingine ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ambaye pia anadaiwa kumpa ujauzito.

Kamanda Bwire amesema mara baada ya kufanya mauaji hayo, Prudence anadaiwa kutuma ujumbe mfupi wa simu kwa Mama wa Marehemu na kumtaarifu kuhusu tukio hilo.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz