MTIBWA SUGAR YAICHAPA SIMBA 3-1, KUKUTANA NA YANGA FAINALI LIGI YA VIJANA U20 JUMAMOSI CHAMAZI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MTIBWA SUGAR YAICHAPA SIMBA 3-1, KUKUTANA NA YANGA FAINALI LIGI YA VIJANA U20 JUMAMOSI CHAMAZI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MABINGWA watetezi, Mtibwa Sugar wamefanikiwa kwenda Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Simba SC Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Joseph Mkelle dakika ya 14 na Omary Marungu dakika ya 54 kwa penalti na 80, wakati bao pekee la Simba limefungwa na Kassim Omar dakika ya 68.
Sasa Mtibwa Sugar itakutana na Yanga katika Fainali Jumamosi, wakati Simba itamenyana na Azam FC katika mechi ya kusaka mshindi wa tatu hapo hapo Azam Complex.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz