MSUVA ATOKEA BENCHI NA KUSHINDWA KUINUSURU WYDAD NA KIPIGO CHA NYUMBANI KUTOKA KWA KAIZER CHIEFS CASABLANCA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MSUVA ATOKEA BENCHI NA KUSHINDWA KUINUSURU WYDAD NA KIPIGO CHA NYUMBANI KUTOKA KWA KAIZER CHIEFS CASABLANCA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva ametokea benchi na kushindwa kuiepusha timu yake, Wydad Athletic na kipigo cha 1-0 nyumbani kutoka kwa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini usiku huu Uwanja wa Mohamed V Jijini Casablanca.
Katika mchezo huo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Msuva aliingia uwanjani dakika ya 68 kuchukua nafasi ya Muaid Ellafi.
Na bao pekee la Wydad limefungwa na mshambuliaji Mserbia, Samir Nurkovic dakika ya 34 akimalizia pasi ya beki Mzawa, Njabulo Blom.


Mchezo mwingine wa Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa, watetezi wa taji, Al Ahly ya Misri pia wameshinda ugenini 1-0 dhidi ya Esperance, bao pekee la Mohamed Sherif dakika ya 67 Uwanja Olympique de Radès Jijini Tunis, Tunisia.
Mechi za marudiano zitachezwa Jumamosi ijayo Cairo na Johannesburg na washindi wa jumla watakutana kwenye fainali Julai 17.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz