Morata Afichua Siri za Ronaldo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Morata Afichua Siri za Ronaldo-Michezoni leo

MSHAMBULIAJI wa Juventus, Alvaro Morata amedai kuwa yeye ni mmoja wa wachezaji wanaomjua vizuri mshambuliaji mwenzake, Cristiano Ronaldo.

Morata ambaye amecheza na Ronaldo pia Real Madrid, amesema kuwa nyota huyo ni mtu anayejua mambo mengi ambayo watu wanaweza wasifikirie kama anayajua.

“Huwa tunazungumza mambo mengi, mengine hata ambayo huwezi kuyafikiria. Anajua vitu vingi mfano historia na rekodi mbalimbali, inaonekana kama anasoma sana vitabu.

“Kuna siku tukiwa tunakula katika timu, akachambua mambo kadhaa kuhusu chakula kisha akatutajia mtu ambaye aliwahi kukaa muda mrefu bila kula. Ilitushangaza wote,” alisema Morata

The post Morata Afichua Siri za Ronaldo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz