Meneja Wa Metacha Afunguka Kusajiliwa Simba – Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Meneja Wa Metacha Afunguka Kusajiliwa Simba – Video-Michezoni leo

METACHA Mnata, anaweza kwenda Azam FC ama Simba ikiwa mabosi wake wa sasa Yanga watakaa kimya juu ya mkataba wake.

Nyota huyo ambaye amesimamishwa na Yanga kwa muda usiojulikana huku akikutana na rungu kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) kutocheza mechi tatu pamoja na faini ya laki tano dili lake linameguka msimu huu.

Kosa lake ilikuwa ni kuwaonyesha ishara ya matusi mashabiki wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa ambapo Yanga ilishinda kwa mabao 3-2.

Kwa mujibu wa Meneja wa Mnata, Jemedari Said amesema kuwa yupo tayari kupokea ofa kutoka Azam FC na Simba endapo Klabu ya Yanga itakaa kimya. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

The post Meneja Wa Metacha Afunguka Kusajiliwa Simba – Video appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz