MCHAMBUZI WA SOKA, OSCAR OSCAR ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA TFF KATIKA UCHAGUZI ULIOPANGWA KUFANYIKA AGOSTI 7 JIJINI TANGA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MCHAMBUZI WA SOKA, OSCAR OSCAR ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA TFF KATIKA UCHAGUZI ULIOPANGWA KUFANYIKA AGOSTI 7 JIJINI TANGA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 
MCHAMBUZI wa soka, Oscar. Oscar amejitokeza kuwania Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Agosti 7 mwaka huu Jijini Tanga.
Pamoja na Oscar, mwingine aliyechukua fomu leo zinazotolewa kwa gharama ya Sh. 500,000 ni Deogratius Mutungi ambao wanafanya idadi ya wagombea Urais kufika watano, wengine Evans Mgeusa, Zahor Mohamed Hajji na Rais wa sasa, Wallace John Karia.
Zoezi la uchukuaji fomu linatarajiwa kuendelea hadi Jumamosi Saa 10:00 jioni makao makuu ya TFF, Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam au kupitia tovuti ya shirikisho hilo.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz