MBUNGE WA KINONDONI TARIMBA ABBAS AJITOA KUWANIA URAIS TFF, SASA KARIA NJIA NYEUPEE KUENDELEA KUKALIA KITI CHA ENZI KARUME-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MBUNGE WA KINONDONI TARIMBA ABBAS AJITOA KUWANIA URAIS TFF, SASA KARIA NJIA NYEUPEE KUENDELEA KUKALIA KITI CHA ENZI KARUME-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MBUNGE wa jimbo la Kinondoni (CCM), Tarimba Abbas amejitoa kwenye uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uliopangwa kufanyika Agosti 7, mwaka huu Jijini Tanga.
Tarimba, Rais wa zamani wa klabu ya Yanga ni kati ya watu wanne ambao hawajarejesha fomu walizochukua kwa gharama ya Sh. 500,000, wengine ni mmiliki wa African Lyon, Rahim Kangenzi, Deogratius Mutungi na Zahor Mohammed.
Waliorejesha fomu kuwania Urais wa TFF pamoja na Rais wa sasa, Wallace Karia, wengine ni Nahodha wa zamani wa timu ya taifa na klabu ya Yanga, Ally Mayay Tembele, Evans Mgeusa, wanahabari Ally Saleh wa Zanzibar, Oscar Oscar wa Dar es Salaam na mwanamke pekee, Hawa Mniga ambaye ni mtumishi wa umma.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz