MBUNGE TARIMBA ABBAS NA NAHODHA WA ZAMANI WA TAIFA STARS, ALLY MAYAY WACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS WA TFF DHIDI WALLACE KARIA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MBUNGE TARIMBA ABBAS NA NAHODHA WA ZAMANI WA TAIFA STARS, ALLY MAYAY WACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS WA TFF DHIDI WALLACE KARIA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

 MBUNGE wa jimbo la Kinondoni (CCM), Tarimba Gullam Abbas amechukua fomu kuwania Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Agosti 7 Jijini Tanga.
Pamoja na Tarimba, Rais wa zamani wa klabu ya Yanga, wengine waliochukua fomu leo ni Nahodha na kiungo wa zamani wa klabu hiyo na timu ya taifa, Ally Mayay Tembele.
Wawili hao wanafanya idadi ya jumla ya wagombea saba wa nafasi ya Urais pekee, akiwemo Rais anayemaliza muda wake, Wallace John Karia anayeomba tena ridhaa, Oscar Oscar, Deogratius Mutungi, Evans Mgeusa na Zahor Mohammed Hajji.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz