Matola: Simba Kazi Bado Haijamalizika-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Matola: Simba Kazi Bado Haijamalizika-Michezoni leo

KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema licha ya ushindi dhidi ya Ruvu Shooting hawajabweteka kuwa wamemaliza kazi badala yake bado wana shughuli nzito ya kuhakikisha wanatetea ubingwa wao.

 

 

Matola alitoa kauli hiyo juzi Alhamisi mara baada ya kumalizika mchezo wao wa ugenini dhidi ya Ruvu Shooting na kufanikiwa kushinda mabao 3-0 katika Uwanja wa CCM Kirumba.

Matola alieleza kuwa ilikuwa ni lazima waifunge Ruvu kutokana na wao kufungwa tena nyumbani na kupelekea maneno kuwa mengi sana.

 

“Tulichokifanya leo (juzi) hapa Kirumba ilikuwa ni kulipa kisasi na nashukuru wachezaji wangu wameweza kufanya hilo kwa usahihi kabisa na sasa ni kujiandaa na mapambano mengine ambayo yapo mbele na kuhakikisha tunatetea ubingwa,” alisema Matola.

 

Aidha kocha huyo aliwataka Wanasimba wote wakati huu wanapokaribia kutwaa ubingwa wa nne mfululizo kuendelea kuwa wamoja na mshikamano kwa kuisapoti timu yao ikiwa nyumbani kama njia ya kuongeza hamasa na kuhakikisha wanafikia ndoto zao.

STORI: OSCAR MIHAYO | CHAMPIONI

The post Matola: Simba Kazi Bado Haijamalizika appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz