Man United Yarudi Yena Kwa Sancho-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Man United Yarudi Yena Kwa Sancho-Michezoni leo

KLABU ya Manchester United imefungua tena majadiliano ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Borrusia Dortmund, Jadon Sancho.

Kocha wa Man United, Ole Gunnar Solskajaer, ameshasema kuwa anataka kusajili mshambuliaji mmoja kwenye dirisha hili la usajili.

Taarifa ambayo imetolewa na gazeti la Daily Mail, juzi, inasema kuwa United wamefungua tena majadiliano ya kumtaka mshambuliaji huyo aliyefanya vizuri kwenye Ligi Kuu ya Ujerumani, Bundesliga.

Dili la mshambuliaji huyo linatajwa kufi kia pauni milioni 100, huku United wakitajwa kutofi kia dau hilo mara kwa mara ambapo wamepeleka ofa zao Dortmund.Kwa upande wa Dortmund wao wameshasema kuwa wapo tayari kumuachia mchezaji huyo kama dili kamili litapatikana

STORI; MANCHESTER,England

The post Man United Yarudi Yena Kwa Sancho appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz