LUIS MIQUISSONE AFUNGA BAO PEKEE CCM KIRUMBA SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 1-0 JIJINI MWANZA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

LUIS MIQUISSONE AFUNGA BAO PEKEE CCM KIRUMBA SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 1-0 JIJINI MWANZA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone kwa shuti la umbali wa mita 20 la mpira wa adhabu dakika ya 28 kufuatia beki wa kulia, Shomari Kapombe kuchezewa rafu nje ya boksi.
Simba SC wanafikisha pointi 70 baada ya mechi 28 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi sita zaidi sasa dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC ambao pia wamecheza mechi mbili zaidi.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz