Kocha wa Simba Aondoka Nchini-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha wa Simba Aondoka Nchini-Michezoni leo

Kocha Mkuu wa Simba, DIDIER Gomes amekwea pipa na kuibukia nchini Ufaransa kwa ajili ya mapumziko mafupi.

Raia huyo wa Ufaransa ambaye ameongoza kikosi hicho mpaka kuishia hatua ya robo fainali katika Ligi ya Mabingwa Afrika alikwea pipa Juni 5.

Ikumbukwe kuwa alijiunga na Simba Januari 24 akichukua mikoba ya Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji na alisepa na Ndege ya Shiriki la KLM.

Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa:” Timu kwa jumla ina mapumziko hadi Juni 8 mwaka huu ndio tutarejea tena kazini,” .

Gomes anatarajiwa kurejea Bongo Juni 11 kuendelea na kazi yake.

The post Kocha wa Simba Aondoka Nchini appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz