Kocha Simba: Tunatangazia Ubingwa Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kocha Simba: Tunatangazia Ubingwa Yanga-Michezoni leo

SIMBA imepanga kucheza mechi ijayo dhidi ya Yanga kama fainali, huku lengo kubwa likiwa ni kutangaza ubingwa mbele ya wapinzani wao hao wa jadi.

 

Mabingwa hao watetezi, hivi sasa wanahitaji pointi tatu tu kutetea ubingwa wao huo ambapo mechi ijayo ni Julai 3, mwaka huu dhidi ya Yanga.

 

Katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, Simba inaongoza ikiwa na pointi 73 baada ya kucheza mechi 29, inafuatiwa na Yanga yenye pointi 67 ikicheza mechi 31.

 

Endapo Simba itaibuka na ushindi katika mchezo huo, basi itatangaza ubingwa ikiwa ni mara ya nne mfululizo.Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amefunguka kuwa:

“Tunafurahia kuwa na muendelezo mzuri wa ushindi ndani ya ligi, hii inazidi kutupa hali ya kujiamini kuelekea mchezo wetu ujao dhidi ya Yanga.

“Tunatarajia kucheza mchezo huo kama fainali, ili kutangaza ubingwa wetu wa nne mfululizo, tuna michezo mitano mbele yetu na tunahitaji ushindi mmoja pekee, ninaiamini timu yangu na natumaini tutafanya vizuri mpaka mwisho wa msimu.

 

“Kuhusu Chama, huyu ni mchezaji wetu muhimu, anakuwa na mchango mkubwa kikosini, tulipanga kumpa dakika 30 kwa ajili ya kuanza kumuandaa kuelekea michezo ijayo, hasa ule wa nusu fainali dhidi ya Azam na pia mchezo dhidi ya Yanga.

 

Juzi Jumanne wakati Simba ikiibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbeya City, Chama alicheza kwa dakika 30 akiingia uwanjani dakika ya 60 kuchukua nafasi ya Rally Bwalya.

STORI NA JOEL THOMAS | GPL

The post Kocha Simba: Tunatangazia Ubingwa Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz