Kocha Simba: Kagere Bado Ana Nafasi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kocha Simba: Kagere Bado Ana Nafasi-Michezoni leo

LICHA ya mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere kupitia kipindi kigumu cha kukosa nafasi ya kuanza mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza, kocha wa viungo wa timu hiyo, Adel Zrane amesema kuwa mshambuliaji huyo bado ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri ndani ya kikosi cha Simba.

 

Tofauti na misimu miwili iliyopita, Kagere msimu huu amekuwa na wakati mgumu kupata nafasi ya kuanza mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza, kutokana na ushindani mkubwa wa namba anaoupata kutoka kwa washambuliaji Chris Mugalu na John Bocco.

 

Licha ya changamoto hiyo ya nafasi Kagere msimu huu mpaka sasa kwenye michuano ya Ligi Kuu Bara pekee, amefanikiwa kuifungia Simba mabao 11 yanayomuweka katika nafasi ya tatu ya msimamo wa chati ya wafungaji bora msimu huu.

Akizungumza na Championi Jumatatu, kocha Zrane alisema:

 

“Kwangu Kagere ni miongoni mwa washambuliaji bora zaidi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati, hili linathibitishwa na ukweli kwamba kwa misimu mitatu iliyopita amefanikiwa kuibuka na tuzo za ufungaji bora katika nchi tofauti.

 

Lakini kwa mchezaji kuna wakati unaweza kukutana na changamoto ya kiwango chako au hata ya kimfumo, lakini binafsi namjua Kagere vizuri na kutocheza kwake kwa sasa haimaanishi kuwa ni mchezaji mbaya, nina uhakika Kagere bado ana nafasi ya kufanya makubwa akiwa na kikosi cha Simba, hilo ni suala la muda tu.”

joel thomas

NANDY Ataja SABABU za KUMUACHA BILL NAS, Afunguka DIAMOND KUSHIRIKI NANDY FESTIVAL.

The post Kocha Simba: Kagere Bado Ana Nafasi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz