KOCHA MAARUFU NCHINI, JAMHURI KIHWELO 'JULIO' AENGULIWA KUWANIA UENYEKITI WA CHAMA CHA MAKOCHA TANZANIA, MENEJA WA SAMATTA APETA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KOCHA MAARUFU NCHINI, JAMHURI KIHWELO 'JULIO' AENGULIWA KUWANIA UENYEKITI WA CHAMA CHA MAKOCHA TANZANIA, MENEJA WA SAMATTA APETA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KOCHA maarufu nchini na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa, Jamhuri Mussa Kihwelo 'Julio' ameenguliwa kwenye Uchaguzi wa Chama cha Makocha Tanzania (TAFCA) kwa madai hakuhudhuria usaili uliofanyika juzi.
Taarifa ya Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo imesema pamoja na Julio aliyeomba kuwania nafasi ya Uenyekiti, mgombea mwingine wa nafasi hiyo, kipa wa zamani wa Taifa Stars, Ivo Philip Mapunda pia ameenguliwa kwa sababu hakuhudhuria usaili huo.
Aliyepitishwa ni mchezaji mwingine wa zamani wa Taifa Stars, Leopold Mukebezi 'Tasso' pekee kuwania nafasi hiyo, wakati nafasi ya Makamu Mwenyekiti amepitishwa Jamal Kisongo pekee, Meneja wa zamani wa Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta anayechezea Fenerbahce ya Uturuki kwa sasa.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz