Kisa Manyama, Simba Waifuata Azam-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kisa Manyama, Simba Waifuata Azam-Michezoni leo

TAARIFA za chini ya kapeti zinaeleza kuwa, Uongozi wa Klabu ya Simba umeufuata uongozi wa kikosi cha klabu ya Azam kwa ajili ya kuomba kuachiwa nafasi ya kumsajili aliyekuwa beki wa Ruvu Shooting, Edward Charles Manyama.

 

Azam tayari wamemtangaza Manyama kuwa mchezaji wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu, huku wakati huohuo Simba walikuwa wakitajwa kumalizana na nyota huyo.

 

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikosi cha Azam kimelitonya Championi Jumatatu, kuwa Simba wameufuata uongozi wa Azam kuomba kuachiwa mchezaji huyo.

 

“Unajua ishu ya Manyama kuhitajika na Simba ni jambo lililo na uzito mkubwa sana kiasi kwamba, kuna baadhi ya viongozi wao wamekuja kujaribu kuongea na viongozi wetu ili tuwaachie, lakini tayari uongozi wetu uliwaambia tuna mipango naye.

 

Alipotafutwa Ofisa habari wa Klabu ya Azam, Zakaria Thabit, Zaka Zakazi kuzungumzia suala hilo alisema: “Watu wengi hawajui kuwa sisi Manyama tulimalizana naye mapema, kabla ya hizo tetesi za klabu ya Simba kumhitaji, hivyo ninachojua mimi Manyama ni mchezaji wetu na si vinginevyo.”

STORI: JOEL THOMAS, Dar es Salaam

The post Kisa Manyama, Simba Waifuata Azam appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz