Kisa CAS, Morrison Anena Mazito ya Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kisa CAS, Morrison Anena Mazito ya Yanga-Michezoni leo

BAADA ya Klabu ya Yanga juzi kutoa taarifa kuwa Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (Cas) imeanza kusikiliza pingamizi la awali la shauri la kimkataba la kiungo Bernard Morrison wa Simba, mchezaji huyo amefunguka mazito.

 

Akizungumza kwa hisia juu ya kile ambacho kinaendelea baina yake na Yanga, Morrison alisema anachofikiri kwa sasa ni kwamba viongozi wa Yanga wanataka kumpoteza mazima kwenye ardhi ya Tanzania.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Morrison alifafanua kuwa anachohisi kwenye moyo wake, Yanga hawataki arudi tena kwenye timu yao na hata mashabiki hawatamani tena kuona hilo likitokea, ila jambo pekee wanalotaka ni yeye kutocheza tena soka kwenye timu yoyote Tanzania.

 

“Nahisi viongozi wa Yanga hawataki kuona nikiendelea kuwepo Tanzania au nikicheza kwenye timu nyingine hapa. Nafikiri huo ndiyo mpango wao, kwa sababu sidhani kama wanahitaji nirudi tena kwenye timu yao.“Maana hata mashabiki na wanachama sidhani kama wanahitaji kuona hilo likitokea.

 

Siwezi kusema kuwa ni wivu au hawataki kuona nikiwa Simba, mawazo yangu yanaona kuwa wanataka niondoke kabisa hapa,” alisema Morrison.

 

Kwenye taarifa ya Yanga ilieleza kuwa Cas wangetoa majibu wa mwenendo wa kesi hiyo juzi Juni 2, jambo ambalo halikufanyika na hakuna taarifa yoyote kutoka ndani ya Yanga ambayo ilitolewa juu ya shauri hilo

The post Kisa CAS, Morrison Anena Mazito ya Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz