Kigwangalla Ampigia Saluti ya Kijeshi Young Lunya "You’ve Got Skills" - EDUSPORTSTZ

Latest

Kigwangalla Ampigia Saluti ya Kijeshi Young Lunya "You’ve Got Skills"

Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini Tabora Mhe Hamisi Kigwangalla amemsifu msanii Young Lunya na amempa moyo kwa kuendelea kufanya vizuri kwa sababu ana ujuzi mwingi.

Kutoka kwenye ukurasa wa Twitter anaoutumia Hamisi Kigwangalla ameandika kuwa 

"Dogo Young Lunya kaupiga mwingi sana mpaka kanifanya nimfuatilie, si unajua mimi ni mpenzi wa Oldies, hawa wa kizazi chenu hawa bhana ila kani-impress sana kwa kweli! leo siku ya pili nafanya mazoezi na nyimbo zake 'Keep it up' mdogo wangu, you’ve got skills" 

Young Lunya kwa sasa anatamba na wimbo wake wa mbuzi na video yake ipo Trending namba 17 kwenye mtandao wa YouTube, na video hiyo amei-shoot nchini South Africa.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz