Kane Hajaongea na Spurs Kwenda Man City-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kane Hajaongea na Spurs Kwenda Man City-Michezoni leo

TAYARI Klabu ya Manchester City imeweka dau nono la Euro milioni 100 ili kuinasa saini mshambuliaji hatari wa Tottenham Hotspur, lakini nyota huyo anasema hajaongea chochote na timu yake hiyo wakati huu akiwa ni nahodha wa timu ya Taifa ya England kwenye Euro 2020.

Kane anasema kwamba, tayari amekwishaeleza mpango wake wa kutaka kuonoka Spurs katika usajili huu wa majira ya joto.

Kane mwenye umri wa miaka 27 anasema juu ya suala hilo hajaongea ama na kaka yake, Charlie ambaye ndiye wakala wake au na Spurs ambayo ndiyo mmiliki wake.

The post Kane Hajaongea na Spurs Kwenda Man City appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz