"Kama jela shule, mpeleke Mwanao" - Amber Rutty - EDUSPORTSTZ

Latest

"Kama jela shule, mpeleke Mwanao" - Amber Rutty

Kuna ile kauli ambayo inasemwa kwamba jela ni sehemu ya mafunzo lakini msanii Amber Rutty ameonekana kuipinga kauli hiyo kwa kusema anayeona jela ni sehemu ya mafunzo basi ampeleke mtoto wake au ndugu yake akajionee.

Amber Rutty amesema hivyo baada ya yeye mume wake Said Bakary kurudi Uraiani ambapo walikuwa wanatumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa matatu ikiwemo kuvuja kwa video isiyo na maadaili na kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

"Jela ni ngumu na sio nzuri, japo kuna watu utawasikia wanasema jela shule nenda ukajifunze lakini mimi nakataa jela sio shule bali ni ngumu, nimejifunza mengi sana kwa sababu nimeumizwa na mitihani mingi niliyopitia"

"Mtu akisikia umeenda jela anakuona kama una makosa au nuksi, jela ni mbaya na mateso, kama unaona jela shule mpeleke mwanao au ndugu yako" ameongeza Amber Rutty 

Kwa sasa Amber Rutty na mume wake wanatamba na wimbo wao mpya unaoitwa jela ambao unahamisha watu wasifanye vitu sivyo ambavyo vitawapeleka jela.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz