Kaizer Chiefs Wafunguka Dili la Kambole Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kaizer Chiefs Wafunguka Dili la Kambole Yanga-Michezoni leo

WAKATI Yanga ikiwa kwenye harakati za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji matata wa Kaizer Chiefs, Mzambia, Lazarous Kambole, uongozi wa Kaizer Chiefs umetoa neno juu ya dili hilo.

 

Ipo hivi; Inafahamika kuwa, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Injinia Hersi Said yupo Afrika Kusini kwa ajili ya kufanikisha dili hilo, baada kumalizana na beki wa AS Vita, Djuma Shabani kwa mkataba wa miaka miwili.

 

Spoti Xtra linafahamu kila kitu juu ya dili la mshambuliaji huyo ambapo Kaizer wapo tayari kumuachia kutokana na kushindwa kuonesha ubora wake tangu alivyojiunga na timu hiyo mwaka 2019 akitokea Zesco United ya Zambia.

 

Kambole ameliambiaSpoti Xtra kuwa: “Sina sababu ya kudanganya juu ya hilo, lakini ukweli sijui kitu chochote kinachoendelea.

 

Alipotafutwa meneja wa mawasiliano wa timu hiyo, Alpheus Maphosa ‘Vina’ juu ya kuzungumzia hilo, kwanza alionesha ukali akisema: “Siwezi kukubali kuongea na mwandishi iwe kwenye ukweli au uongo, naomba unithibitishie hizo taarifa za tetesi umezitolewa wapi.”

 

Baada ya kuthibitishiwa taarifa hizo juu ya Yanga kumtaka Kambole, akaibuka na kusema: “Unajua viongozi wa Kaizer wapo bize na mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, sasa kama dili la mchezaji likiwa limekamilika nitakueleza mapema.”

IBRAHIM MUSSA NA MUSA MATEJA, DAR

The post Kaizer Chiefs Wafunguka Dili la Kambole Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz