Kahata Akwama Azam, Aachiwa Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kahata Akwama Azam, Aachiwa Yanga-Michezoni leo

MABOSI wa Azam FC rasmi wametangaza kuchana na mipango ya kumsajili aliyekuwa kiungo mchezeshaji fundi raia wa Kenya, Francis Kahata.

 

Awali, Azam na Yanga walitajwa kuingia kwenye vita ya kuwania saini ya kiungo huyo rasta ambaye hivi sasa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika wiki iliyopita kabla ya kurejea kwao Kenya.

 

Championi Ijumaa, limejiridhisha kwa mabosi wa Azam kuwa kiungo huyo hatasajiliwa huku wakiweka mipango mingine katika usajili wa msimu ujao.

Mmoja wa mabosi wa Azam alisema kuwa wana mikakati mizito ya kutengeneza kikosi imara kitakachofanya vizuri katika michuano ya kimataifa, mwakani.

 

Bosi huyo alisema kuwa tayari wana orodha ya wachezaji waliopo katika mipango yao lakini siyo Kahata ambaye hakuwa anapata nafasi ya kucheza katika kikosi cha Simba.

 

“Kahata aliwahi kuletwa kwa uongozi kwa ajili ya kukamiliksha mipango ya kumsajili, lakini ikashindikana kutokana na mipango yetu tuliyokuwa nayo katika kukisuka kikosi kitakachokuwa imara na tishio.

 

“Hivyo Kahata rasmi tumesitisha mipango yetu ya kumsajili na badala yake tumemuacha aende kwingine, atakapotaka kwenda kucheza lakini siyo Azam,” alisema bosi huyo.Ofisa Habari wa timu hiyo, Thabit Zakaria alisema: “Muda wetu wa usajili bado na kila kitu kitajulikana mara baada ya ligi kumalizika.”

WILBERT MOLANDI NA MUSA MATEJA

The post Kahata Akwama Azam, Aachiwa Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz