Kabangu: Nikicheza na Chama, Luis Nitafunga Sana-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kabangu: Nikicheza na Chama, Luis Nitafunga Sana-Michezoni leo

MSHAMBULIAJI wa DC Motema Pembe ya DR Congo, Kadima Kabangu, amesema ubora walionao viungo wa Simba wakiongozwa na Clatous Chama na Luis Miquissone, utamfanya afunge mabao mengi iwapo atatua ndani ya kikosi hicho msimu ujao.

 

Kabangu ndani ya msimu huu wa Ligi kuu ya DR Congo akiwa na Motema Pembe, amefanikiwa kufunga mabao 9 na kutoa asisti 4 katika michezo 16, huku akifanikiwa kufunga mabao 3 katika michezo minne ya Kombe la Shirikisho Afrika.

 

Mshambuliaji huyo ameweka wazi kuwa  tayari amewasiliana na Kocha wa Simba, Didier Gomes kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo.

Akizungumza na Spoti Xtra, Kabangu alisema: “Simba wana viungo wazuri wa kutengeneza mabao kama Chama, Luis na Bwalya (Rally), hivyo naamini kupitia wao nitafunga mabao mengi sana kama nitafanikiwa kukamilisha usajili wangu wa kujiunga na Simba katika siku zijazo.

 

“Ligi ya Tanzania nimeifuatilia na bado naendelea kuifuatilia, ni ligi nzuri na yenye ushindani mkubwa, unatakiwa kujituma kila siku ili uweze kufanikiwa kufunga kama ukiwa mshambuliaji, binafsi nimejiandaa kwa kupambana.”

STORI: MARCO MZUMBE, Dar

The post Kabangu: Nikicheza na Chama, Luis Nitafunga Sana appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz