ITALIA YAANZA VYEMA EURO 2020, YAICHAPA UTURUKI 3-0 ROME -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

ITALIA YAANZA VYEMA EURO 2020, YAICHAPA UTURUKI 3-0 ROME -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
ITALIA imeanza vyema Fainali za Euro 2020 baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Uturuki usiku wa Ijumaa Uwanja wa Olimpico Jijini Rome.
Mabao ya Italia katika mchezo huo wa Kundi A yamefungwa na Merih Demiral aliyejifunga dakika ya 53, Ciro Immobile dakika ya 66 na  Lorenzo Insigne dakika ya 79 na kwa ushindi huo kikosi cha Roberto Mancini kinaanzia kileleni baada ya mechi hiyo ya ufunguzi leo.
Euro 2020 itaendelea kesho kwa mechi tatu Wales na Uswisi Kundi A Saa 10:00 jioni na za Kundi B Denmark na Finland Saa 1:00 usiku na Ubelgiji na Urusi Saa 4:00 usiku.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz