Ishu ya Lamine, Sarpong Yanga Mambo Magumu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ishu ya Lamine, Sarpong Yanga Mambo Magumu-Michezoni leo

 

ISHU ya wachezaji wenye utovu wa nidhamu kwenye timu ya Yanga inayowahusu Lamine Moro, Michael Sarpong na Metacha Mnata, bado imekuwa ngumu baada ya kubainika kwamba hakuna chochote kilichojadiliwa.

 

Hivi karibuni, taarifa zilieleza kwamba, uongozi wa Yanga ulikutana na Lamine kujadili ishu ya utovu wa nidhamu, lakini hakuna chochote kilichotolewa baada ya hapo.

 

Kwa mujibu wa taarifa kutoka chanzo cha ndani ya Yanga, masuala ya wachezaji wenye utovu wa nidhamu klabuni hapo bado hayajamalizika.

 

“Kuna wale wachezaji waliokuwa na utovu wa nidhamu, bado masuala yao hayajakamilika, hivyo yatajadiliwa na uongozi kisha majibu yatatoka.

Mbali na hayo, kocha mkuu ameonekana kutomuhitaji Lamine ndani ya timu,” kilisema chanzo.Championi Ijumaa,lilimtafuta Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli kuzungumzia ishu hiyo, alisema:

 

“Masuala ya wachezaji waliokuwa na utovu wa nidhamu bado hayajakamilika mpaka uongozi utakapokaa na kujadili.“Lakini baada ya timu kurudi kambini na kuanza mazoezi rasmi Jumatatu tayari wote wameanza mazoezi pamoja na wenzao.”

Stori: Leen Essau, Dar es Salaam

The post Ishu ya Lamine, Sarpong Yanga Mambo Magumu appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz