HISPANIA YALAZIMISHWA SARE NA POLAND 1-1 SEVILLA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

HISPANIA YALAZIMISHWA SARE NA POLAND 1-1 SEVILLA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya taifa ya Hispania imelazimishwa sare ya 1-1 na Poland katika mchezo wa Kundi E Euro 2020 usiku huu Uwanja wa OlΓ­mpico Jijini Sevilla.
Morata alianza kuifungia Hispania dakika ya 25 akimalizia pasi ya Gerard Moreno, kabla ya Robert Lewandowski dakika ya 54.
Hispania ilipoteza nafasi ya kupata ushindi baada ya Moreno kukosa penalti kipindi cha pili kwa kugongesha mwamba na mpira kurudi uwanjani, hata Morata alipojaribu kuunganisha mpira ukaenda nje.

Sare hiyo ya pili na mfululizo kwa Hispania inawafanya wafikishe pointi mbili katika nafasi ya tatu kundini, nyuma ya Sweden pointi nne na Slovakia tatu, wakati Poland inaokota pointi ya kwanza leo baada ya mechi mbili, hivyo kuendelea kushika mkia.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz