HISPANIA NA SWEDEN ZATINGA 16 BORA EURO 2020, LEWANDOWSKI NJE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

HISPANIA NA SWEDEN ZATINGA 16 BORA EURO 2020, LEWANDOWSKI NJE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
HISPANIA imefuzu Hatua ya 16 Bora baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Slovakia katika mchezo wa Kundi E wa Euro 2020 leo Uwanja wa OlΓ­mpico Jijini Sevilla.
Mabao ya Hispania yamefungwa na Martin DΓΊbravka aliyejifunga dakika ya 30, Aymeric Laporte dakika ya 45, Pablo Sarabia dakika ya 56, Ferran Torres dakika ya 67 na Juraj Kucka aliyejifunga dakika ya 71.
Mechi nyingine ya kundi hilo, Sweden imeichapa Poland 3-2 Uwanja wa Saint-Petersburg Jijini St. Petersburg, Urusi.


Mabao ya Sweden yamefungwa na Emil Forsberg mawili dakika ya pili na 59 na Viktor Claesson dakika ya 90 na ushei, wakati ya Poland yote yamefungwa na Robert Lewandowski dakika ya 61 na 84.
Sweden inamaliza kileleni na pointi zake saba, ikifuatiwa na Hispania pointi tano na zote zinafuzu 16 Bora ya michuano hiyo, wakati Slovakia iliyomaliza na pointi tatu na Poland pointi moja zote zinaaga.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz