Hatimaye Diva Loveness Ajiunga na WASAFI Media....Wagombanao Ndio Wapata Nao - EDUSPORTSTZ

Latest

Hatimaye Diva Loveness Ajiunga na WASAFI Media....Wagombanao Ndio Wapata Nao

Mtangazaji maarufu wa vipindi vya usiku diva anejiunga na Wasafi media kwa mujibu wake akifanyiwa mahojiano amesema amesaini mikataba aliyopewa na Diamond ambao atakuwa analipwa zaidi ya kile alichokuwa analipwa na media aliyofanya nayo kazi lakini ameongea pia amepewa gari na Diamond. Ameongea kuwa Diamond amemuajiri baada ya kutatua ugomvi wao walikuwa nao.

Akaulizwa kwanini hivi karibuni alikuwa anamshabikia Sana diamond? Akajibu nilianza kumshabikia baada ya diamond kufuta kesi dhidi yake mahakamani na ndipo nikaamua kuacha kuwa na ugomvi naeJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz