‘Haikuwa kazi rahisi' - Anjella - EDUSPORTSTZ

Latest

‘Haikuwa kazi rahisi' - Anjella

Nyota wa muziki wa kizazi kipya kutoka Konde Music Worldwide Anjella, amekiri kuwa haikuwa kazi rahisi kwake kufikia mafanikio kimuziki pasipo upendo kutoka kwa mashabiki zake hii ni mara baada ya kukabidhiwa Tuzo (Plaque) na mtandao wa Youtube.

Baada ya kukabidhiwa Plaque hiyo ametumia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram kuelezea hisia zake.

"Haikuwa kazi rahisi toka nimeianza safari yangu ya muziki rasmi nimeuona upendo wenu wa dhati mashabiki zangu ambao mmejitolea muda wenu kufuatilia kazi zangu asanteni sana upendo wenu umekuwa somo kubwa sana katika maisha yangu na hili limethibitika baada ya kufikisha wafatiliaji 100,000 kwenye YouTube account yangu ( silver button award ) asante sana endeleeni ku-subscribe account ya YouTube".Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz