Guardiola Ashinda Tuzo ya Kocha Bora wa Epl - EDUSPORTSTZ

Latest

Guardiola Ashinda Tuzo ya Kocha Bora wa Epl

KOCHA wa Manchester City Pep Guardiola ametwaa tuzo ya kocha bora wa msimu wa 2020/21, baada ya kuiwezesha timu hiyo kushinda ubingwa wa ligi kuu.

Guardiola amewashinda  kocha wa Leeds United  Marcelo Bielsa, David Moyes wa West Ham United, kocha wa Leicester Brendan Rodgers na Ole Gunnar Solskjaer wa Manchester United.

Mhispania huyo ameiongoza City kutwaa Ubingwa wake wa tano ikiwa kwake ni wa tatu tangu atua kuifundisha timu hiyo.

Pep ametwaa ubingwa timu yake iiongoza kwa kufunga magoli mengi 82 na imeruhusu kufungwa machache 32.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz