Dube Aongeza Mkataba wa Miaka Miwili Azam FC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Dube Aongeza Mkataba wa Miaka Miwili Azam FC-Michezoni leo

NYOTA wa Klabu ya Azam FC, Prince Dube ameongeza mkataba wake ndani ya kikosi hicho kwa muda wa miaka miwili.

Taarifa rasmi iliyotolewa na Azam FC imeeleza kuwa nyota huyo atasalia ndani ya timu hiyo mpaka 2024.

Nyota huyo ni namba moja kwanutupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ametupia mabao 14 na ana pasi tano za mabao.

Pia ana mabao matatu katika Kombe la Shirikisho ambapo Azam FC imetinga hatua ya nusu fainali na itacheza na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes.

The post Dube Aongeza Mkataba wa Miaka Miwili Azam FC appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz